Na lundo la vibaka kila kona ya jiji wanalaleje fofofo?Kafanikiwa kuiongoza daresalama ndio mwenyekiti wenu wa kamati ya ulinzi ya mkoa..
Mnalaa fofo
Mnaweza kuandika nyuzi kama hizi..
Kama binadamu anamapungufu yake mengi sana hata wewe unayo
Na lundo la vibaka kila kona ya jiji wanalaleje fofofo?
Ebu tutajie mafanikio yake, inaonekana wewe unajua zaidi.Wewe binafsi umeleta mafanikio yenye impact gani hata katika jamii inayokuzunguka, tuanzie hapo kwanza.
Kila jambo lina faida na hasara ama uzuri na ubaya wake.
Kwa nini umeweka failures zake tupu kabla ya kuweka mafanikio yake kwanza?
Mimi ninadhani kwa uandishi wako huo wenye chuki, wewe ni mmoja wapo wa "elements" zilozobanwa mbavu hadi kushindwa kupumua!
Sasa pakupumulia na kutemea nyongo palipobakia salama pekee ni jf penye id feki.
Embu nenda insta ama kwenye magroup ya whatsup katumbue hiyo nyongo yako ya chuki tuone.
Shughuli yoyote inayohitaji ubunifu wa mtu, huwa haitakiwi kubezwa ilimradi huyo anayebuni awe na nia njema ya kujenga na si kubomoa.
hata Ulaya ipo hyooMkoa upi usio na vibaka ?
umesahau ile amri yake ya kufunga bar ifakapo saa tano usiku ambapo baadae alipoona amri aliyoitoa ilikuwa haitekelezeki, akaja kuitenguaNimejaribu kumfuatilia huyu bwana sidhani kama anafanya kazi zake kwa weledi inaonekana ni mtu wa kukurupuka tu bila mpango wowote. naamini angekuwa nje ya DAR sidahani kama angeweza kuongoza.
Dar ina mbeba kozi serikali yote iko hapa, raisi yupo hapa, wakuu wa wilaya wanafanya kazi zao vizuri,vyombo vya usalama viko makini na kikubwa zaidi raia wa DAR wanajitambua hawapelekwi kama ng'ombe.
mipango ya hovyo ya makonda iliyofail
1.DAR mpya
2.Mti wangu
3.Kampeni ya tezi dume.
4.msaada wa kisheria kwa akina mama juu ya miradhi .
5.Akina baba waliotelekeza.
6.Yard za magari kuhamia kigamboni
7. Ushindi kwa taifa stars.
8.Kampeni ya usafi dar es salaamu hadi mgambo wakawa wanapiga raia.
mi ndo nimeona ivo kama kuna jambo kafanikisha mnitajie ambalo wakuu wengine wa mkoa Dar liliwashinda