D DOMBWELA JF-Expert Member Jan 18, 2014 757 842 Aug 2, 2020 #141 Twamo said: Huenda anatumia ofisi ya R.A.S ambako alikuwepo kabla hajawa R.C! Makonda anamchukulia poa Kunenge kwa kuwa walikuwa wote hapo Ilala Boma! Click to expand... Sio kuwa wote tu bali kwa kuwa ndiye aliyempendekeza awe RAS DAR.
Twamo said: Huenda anatumia ofisi ya R.A.S ambako alikuwepo kabla hajawa R.C! Makonda anamchukulia poa Kunenge kwa kuwa walikuwa wote hapo Ilala Boma! Click to expand... Sio kuwa wote tu bali kwa kuwa ndiye aliyempendekeza awe RAS DAR.
Kipangaspecial JF-Expert Member Mar 30, 2020 19,408 25,932 Aug 2, 2020 #142 danimutta said: No way guys. Ukiapishwa na Rais tayari umekabidhiwa madaraka. Rais wetu hawezi kufanya kinyume cha utaratibu. Click to expand... Wewe wa wapi Mara nyingi tu Magufuli anafanya upside down
danimutta said: No way guys. Ukiapishwa na Rais tayari umekabidhiwa madaraka. Rais wetu hawezi kufanya kinyume cha utaratibu. Click to expand... Wewe wa wapi Mara nyingi tu Magufuli anafanya upside down
A Andrew123 JF-Expert Member Jun 2, 2012 7,046 8,622 Nov 29, 2023 #143 nyabhingi said: Nakumbuka alivyoteuliwa ukuu wa mkoa inasemekana gsm waliikarabati kwa takribani milioni 400 Akifikiria hilo anatamani ameze funguo. Click to expand... Safi
nyabhingi said: Nakumbuka alivyoteuliwa ukuu wa mkoa inasemekana gsm waliikarabati kwa takribani milioni 400 Akifikiria hilo anatamani ameze funguo. Click to expand... Safi