Zima simu kisha toa lain zote pamoja na memory card,then bonyeza power on/off kitufe kwa pamoja na batan za kuongezea saut or maximum voice kwa pemben vyote unavifanya kwa wakat mmoja baina ya power on/ off batan na maximum vioce batan baada ya kuvibonyeza kwa kwa pamoja yatatokea maandish mengi ila utatafuta sehemu iliyoandikwa reboost Android system then una click simu itajireboost.