habaari, kuna mtu aliwahi post humu jinsi ya kutumia patch kwenye idm nilikuwa na hiyo setup lakini imepotea. naomba anayejua link ya kupata anatumie kwani nimejaribu ku search humu kwa kila namna nimeshindwa. thanks in advance.
kuna file liko kwenye downloads.>comperssed>idm..... fanya kuifungua then nenda file limeandikwa patch..lifungue...utakuta ka app kameandikwa patch langi ya blue...minimize..nenda my computer>local disk c>program files>internet..... then rudi kule ulko minimize mwanzo... drag iyo app ya blue kwa idm uliyofungua kwenye program files...run iyo app kama ulivofanya mwanzo...kila ukiupdate itakubidi uitafute iyo patch ui run....
cheers...