Pata Video Camera kwa 550,000/=

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
857
Reaction score
396
Canon XL1 kwa harusi na documentaries,quality ya picha iko vizuri sana hii ni mashine ya kazi siitumii tena karibu kwa anayehitaji. Bei 550,000/=
Mawasiliano 0717 017 820


 
Canon XL1 kwa harusi na documentaries,quality ya picha iko vizuri sana hii ni mashine ya kazi siitumii tena karibu kwa anayehitaji. Bei 550,000/=
Mawasiliano 0717 017 820

toa detail zote za hiyo camera, aina.....
 
toa detail za hiyo camera then piga picha angle tofauti tofauti na sema inamatatizo gani
 
toa detail za hiyo camera then piga picha angle tofauti tofauti na sema inamatatizo gani

Details waweza check maana nimeweka model yake,baterry limekwisha,otherwishe kazi kama kawaida.
 
Canon xl 1... according to google china



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…