Pata usaidizi wa usajili wa kampuni

Pata usaidizi wa usajili wa kampuni

Joined
Apr 16, 2021
Posts
19
Reaction score
20
Sharose Enterprise inawakaribisha wajasiriamali na wafanyabiashara wote wenye nia na huitaji wa usajili wa biashara zao.
Sharose tunatoa usaidizi wa usajili wa Kampuni na Majina ya biashara kwa kutumia mfumo wa BRELA (ORS) pia tunatoa usaidizi wa kusajili nembo za Biashara BRELA.
Biashara yoyote halali lazima itambulike kisheria hivyo wewe kama mjasiriamali au mfanyabiashara rasimisha biashara yako leo.
Tutakusaidia mwanzo mpaka mwisho na kukufanikishia unapata vibali vyako vyote.
Karibu sana tukuhudumie.
Wasiliana nasi kwa simu namba 0755440118
Tunapatikana Sayansi-Dar es Salaam
20230330_190630_0000.jpg
 
Back
Top Bottom