Pata submersible borehole pumps

Pata submersible borehole pumps

yaasary

Senior Member
Joined
Mar 26, 2011
Posts
111
Reaction score
60
Habar wakuu; kwa wenye uhitaji wa submersible water pumps complete set +motor ( zimetumika chini ya mwaka Mmoja) kulingana n.a. sifa orodheshwa hapa chini

*Manufacture - Leo, 7.5kw , discharge 16m-cubic/hr, country of origin -China , Price 5,000,000tsh (mpya)

*Manufacture -Grundfos,3hp;Discharge 9m-cubic/hr, country of origin -Dernmark , Price 2,500,000tsh

**Manufacture -Grundfos,4kW;Discharge 14m-cubic/hr, country of origin -Dernmark , Price 4,500,000tsh

Kwa mwenye uhitaji naomba tuwasiliane Pm kwa makubaliano zaidi ;

shukran
 
14m^3/hr ni kubwa sana. Labda viwandani boss, nadhani unazijua submersible nyingi za 1.5 kw zinauzwa laki Nne, 5000lt tank linajaa ndani ya nusu saa,na ndio zinatumika sana kwa wenye visima virefu. Zipo pia za 2.5

Ila grundfoss ni wa muda mrefu kwenye game mngewatafuta na watu wrnye kipato kidogo mko juu mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom