Pata software ya saizi yako

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,761
Reaction score
2,674
HABARI WAKUU.

Ulimwengu wa biashara hauhitaji wataalamu wa kuinstall na kuitumia system.Bali wanahitaji wataalamu wanaoweza kukaa chini na wateja na kuwasikiliza mahitaji yao, kuchambua namna wanavyofanya majukumu yao na kisha kuja na ufumbuzi kamili utakaokidhi mahitaji husika.

Kwa kujua hilo, SIMPLE ACCOUNTING, tunatoa huduma ya kumshauri mteja juu ya aina mbalimbali ya software kadri ya mahitaji yake, huduma hii ikiwa ni bure.

Kisha tunapendekeza software itakayotibu kuanzia 80% ya matatizo yako ikiwemo software za online(cloud) bila server, ya kutumia kwa simu.Hii ni kwa mjasiriamali mdogo na wa kati mpaka maofisi kama Hospitali, Shule, Miradi, vyuo. Pia tunafanya;

1.Training- ili uitumie kwa maarifa,
2.Service - msaada kila unapohitaji

Kwa mawasiliano piga:+255713 039 875





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…