Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Wakuu Nauza simu original used kwa bei za tajiri aliyefilisika,napatikana Mozambique kwa picha na bei please whatsapp me namba +258844910662
zinakuwa za kuflash au?Wakuu Nauza simu original used kwa bei za tajiri aliyefilisika,napatikana Mozambique kwa picha na bei please whatsapp me namba +258844910662
Sijakuelewa mkuu
Utanisamehe bure mkuu nimetoka kujiunga jamii forum lisaa limeja lilipita,kuweka picha ni sawa na kuuliza wa mkoa mlimani city ni wapi!
Hujaelewa nini hapo?Sijakuelewa mkuu
sasa mkuu upo msumbiji au bongoUt
Utanisamehe bure mkuu nimetoka kujiunga jamii forum lisaa limeja lilipita,kuweka picha ni sawa na kuuliza wa mkoa mlimani city ni wapi!