Pata samaki kwa bei nafuu

Pata samaki kwa bei nafuu

Ntigy

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
489
Reaction score
270
Nauza samaki wabichi aina ya sangara kwa jumla na rejareja,bei ya jumla ni sh.5500 kwa kilo. Hii ni kuanzia kg 5 na kuendelea. Kwa rejareja ni sh. 6500 kwa kilo. Hii ni kuanzia nusu kilo hadi kilo 4 na nusu.

Wote mnakaribishwa!
 
Last edited:
Sawa mkuu ntakutafta soon bei nzuri sana kwetu wafanyabiashara na watumiaji wa mwisho pia asante sana
 
Back
Top Bottom