Pata raba ya Adidas original

Hapo ndio mwisho wa tangazo lako, ama tusubiri utakuja kuendelea.....[emoji15] [emoji15]
 
Mbona iko kwenye mguu wa mzungu[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Kwani hujaelewa wapi hapo
Ohhh.....
Nimesha elewa Mkuu, maana nilikua sijaona namba zako za mawasiliano, mahali ulipo/unapo patikana na hata bidhaa zako..[emoji5] [emoji5]
Ndio nimeona saivi Mkuu, kweli unabidhaa nzuri aiseeee....
Tutawasilana kwa hiyo namba yako ulio iweka hapo...[emoji2] [emoji2]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekuelewa sana mkuu,jamaa hajatoa code yyte wap alipo wala contact ss sijui watu wafikaje
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hio ndio aina ya vijana wabunifu wanao patikana hapa Tanganyika
 
Utanithibitishiaje kwamba ni Original sio feki ya mchina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…