Pata Poweramp player full version free

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,050
Reaction score
1,359
Kwa wale mlioroot simu zenu, sasa unaweza pata music player hiyo bora kabisa kupita zote ikiwa full version kwa kutumia Lucky Patcher

Karibu kwa maelekezo
 
Gambas unazingua ujueee una leta vitu nusu nusu kama umeshindwa sema niwashushie darasa watu waba kusubiri bwana
 
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1433744504571.png
    18.5 KB · Views: 92



Hizo ni picha utakapokuwa umefanikiwa poweramp yako itaonekana hivo,.


Kuchelewa ni ubovu wa network

Hatua ya kwanza unatakiwa kuwa umeroot simu yako maana Lucky Patcher inasupport kwa simu ambayo iko rooted


Download powerAmp full version unlocker v2.0.10

Download poweramp yako(trial) kutoka playstore, ifungue.


Download Lucky Patcher baada ya hapo twende pamoja sasa kwa maelezo kidogo na picha

1.fungua lucky patcher yako
itaonekana hivi, na utaclick hiyo poweramp ukishaclick itaonekana hivi


Click hapo custom patch na itaonekana hivi
click huo msatari wa mwisho itaonekana hivi

Click OK itaonekana hivi

Baada ya kumaliza itakuletea hivi

Launch na itaonekana hivi
Rudi katika menu ya simu yako na ufungue sasa PowerAmp full version unlocker nayo itaonekana hivi

Click hapo palipoandikwa Patch na malizia kwa kubonyeza Activate

Rudi sasa na fungua poweramp yako na utapata ujumbe huu

Kama hautaelewa kwa maelezo hayo basi endelea kutumia player zingine tu za kujikongoja




Enjoy wanaJF
 
Ingekuwa vzr ungewawekea na link ya kupata hiyo powerampfull unlocker.kazi nzuri mkuu
 
Thanx, mkuu imekubali, salute kwako, kweli hii ni baba lao,
 
Nimewahi kuitumia hiyo power amp ikiwa kwenye trial version,ni nzuri sana.Kwenye blackberry 10 inafaa? Gambas
 
Last edited by a moderator:
Hv kunauwezekano wa kununua app bila bila zile wanazo weka hapa et kutumia cjui visa nk msaada wakuu
 
Kwa wale mlioroot simu zenu, sasa unaweza pata music player hiyo bora kabisa kupita zote ikiwa full version kwa kutumia Lucky Patcher

Karibu kwa maelekezo
Mkuu hv kuna uwezekano wq kununua app bila kua na account. Msaada pleaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ