Pata Pc Game yoyote unayotaka hapa

Acha kiherehere wewe....kila thread Ngoja waje ngoja waje.......Hunaga mishe za kufanya?

Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Jamani mbona mshkaji hajamtusi yeyote? This is social network, anyone can access.

Mtu kama unataka watu wasichangie unatengeneza forum yako then unaondoa sehemu ya kucomment ili ubaki alone, ila issue za kutukanana tena kwenye post ya biashara sio busara!
 
Mkuu note the following;
1. Sijamtukana mtu yeyote
2. Mpaka nimemsema hivyo ujue kazidi.
3. Jaribu kufuatilia thread anazo comment humu jf....he/she adds nothing of value ni ujinga ule ule tu kila siku kama alipo comment kwangu.
4. Kama umesema kila mtu anauhuru wa kujieleza basi acha na mimi njieleze huyu Smart911 anakiherehere
 
Ngoja aje
 
Mimi nataka Euro track na soccer..nipo sumbawanga.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…