Rockefeller JF-Expert Member Joined Nov 21, 2016 Posts 1,235 Reaction score 2,360 Sep 24, 2018 #2 Matunyengule said: Nauza simu hiyo ikiwa katika hali nzuri kabisa nimeinunua mwaka 2014 Thailand. Ina accessories zake zote. Inakaa na chaji kwa Masaa 14 kwenye Internet. Nimebadili simu ndio mana naiuza. pm kama unahitaji. Click to expand... bado ipo
Matunyengule said: Nauza simu hiyo ikiwa katika hali nzuri kabisa nimeinunua mwaka 2014 Thailand. Ina accessories zake zote. Inakaa na chaji kwa Masaa 14 kwenye Internet. Nimebadili simu ndio mana naiuza. pm kama unahitaji. Click to expand... bado ipo
toplemon JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 4,607 Reaction score 4,770 Sep 24, 2018 #3 picha pls
X-Agent JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 8,972 Reaction score 17,068 Sep 24, 2018 #4 Yaani 3 years na miezi halafu bado ipo tu