Habari wakuu? Kampuni ya DMS inatoa mikopo kwa dhamana ya vyeti. Kama uko tayari tufahamishe juu ya utayari wako na sehemu uliyopo tutakufikia.
Weka mchanganuo wa kiasi cha mkopo mnachotoa,Habari wakuu? Kampuni ya DMS inatoa mikopo kwa dhamana ya vyeti. Kama uko tayari tufahamishe juu ya utayari wako na sehemu uliyopo tutakufikia.
mambo ya bongo dar es salaaam, maana hata watoa mkopo ni feki.Dawa yao hawa ni kuwapiga cheti feki.
Nimeipenda, Hiyo yako imetulia sana mkuu!Dawa yao hawa ni kuwapiga cheti feki.
Lugha gani iyo mkuu umeandika inataka kufanana na kiyunani.Fwafwanua chweto kwa chweti he changu cha LA saba vp