baraka said
Member
- Sep 19, 2012
- 85
- 31
- Thread starter
-
- #21
Nikikopa shilingi milioni moja (1,000,000/=) kwa kipindi cha mwaka mmoja, yaani miezi 12 nitarudisha shilingi ngapi jumla?
Nitakuwa narudisha shilingi ngapi kila mwezi?
Tusaidie hapa
sasa hata kama ni miezi 12 kitu ambacho ni uongo , mmewakopesha watumishi wengi kwa miaka zaidi ya 4 kwa nini hukusema riba kwa mwaka ni 90%?Maximum time ya mkopo wetu ni miezi 12 and You can pay it in only a month. Hatutoi mikopo zaidi ya miezi 12. Kwa iyo unapopigia iyo accumulation ya mwaka mzima unakuwa unawapotosha watu mkuu
We mzee sikopi kwenye hizo taasisi zenuSasa kama umeshindwa kulipa deni ufanywaje sasa , dawa ya deni lipa deni acheni kulia lia ...
sasa hata kama ni miezi 12 kitu ambacho ni uongo , mmewakopesha watumishi wengi kwa miaka zaidi ya 4 kwa nini hukusema riba kwa mwaka ni 90%?
😂😂😂TANZANIA yetu hii inamengiNATAKA KIKOPE PAPUCHI KWA DHAMANA YA MKUYENGE
Hapana mkuu... Labda kama ni mwajiliwa wa serikaliKad za Bank vp, haiwezi kuwa dhamana
Mikopo yetu ni kuanzia milioni 2 hadi milioni 10
Akijibu nitag ndio niwapigieNikikopa milioni 10 kila mwezi narudisha shilingi ngapi na Hadi mwisho wa miezi 12 nakuwa nimewalipa shilingi ngapi jumla ?
Nikikopa milioni 10 kila mwezi narudisha shilingi ngapi na Hadi mwisho wa miezi 12 nakuwa nimewalipa shilingi ngapi jumla ?
10 million Schedule:Akijibu nitag ndio niwapigie
1. Hapo kasema riba ni 7.5 kwa mwezi mmojaNikikopa shilingi milioni moja (1,000,000/=) kwa kipindi cha mwaka mmoja, yaani miezi 12 nitarudisha shilingi ngapi jumla?
Nitakuwa narudisha shilingi ngapi kila mwezi?
Tusaidie hapa
Ribs 7.5% ndo nini.Riba ni 7.5% mkuu
Ribs 7.5% ndo nini.
Hiyo Riba 7.5% ni kwa mwaka, kwa siku, kwa wiki, kwa mwezi au masaa?
1. Hapo kasema riba ni 7.5 kwa mwezi mmoja
2. Kwa kuwa wewe utakopa kwa miezi 12 tutazidisha kwa riba ya mwezi mmoja ( 7.5 x 12) = 90%
2. Tukichukua ile njia ya darasa la saba ya (I=PTR/100) Kwa kuwa Ptunayo tayari ni 1,000,000/=, Time tunayo tayari ni mwaka 1, na rate ni 90 hivyo kupata riba pekee I ni rahisi sana.
3 . 1,000,000 X 90/100 = 900,000/=Hii ndio riba pekee kwa mwaka mmoja
4. Kwa kuwa mkopaji hurejesha Mkopo pamoja na riba ( 1,000,000+900,000) jumla atarejesha Tshs. 1,900,000/= wakati kakopa 1,000,000/= kwa mwaka mmoja tuu na marejesho kila mwezi yatakuwa Tshs. 158,333.33
Mkuu siyo waalimu tuu. Awamu hii, Hali ni tete,subiri iko siku utagundua ukweli huu. Purchasing power imepu gua,most people are making down.Hapa ndo wanapoingia mkenge Walimu