baraka said
Member
- Sep 19, 2012
- 85
- 31
Reba yake na kurudishA FUNGUKAPATA MKOPO CHAP CHAP IN 24 Hrs KWA KUTUMIA KADI YA GARI YAKO KAMA MDHAMINI.
Pata Mkopo hadi Tsh. 10 Million ndani ya masaa 24 kwa KUTUMIA kadi ya GARI yako.
Tunapatikana mikocheni Dar es salaam 24/7.
Note: Huduma hii ni kwa watu waliopo dar es salaam tu kwa sasa.
Call us now: 0689 138 536
Tupo Dar es salaam.
Karibu TukuhudumieView attachment 1184299View attachment 1184301
Kadi za pikpik hamchukui
Reba yake na kurudishA FUNGUKA
Leo mko wazi?kurudishaRiba ni 7.5%
You are welcome
Kule singida mmewafilisi wafanyakaz wa serikali hadi huruma
Riba ni kubwa sanaaa
Hapo mnataka kuuza gar za watu tuu
Unaweza kurejesha ndani ya mwezi MMOJA hadi miezi 12.Leo mko wazi?kurudisha
Sasa kama umeshindwa kulipa deni ufanywaje sasa , dawa ya deni lipa deni acheni kulia lia ...Kule singida mmewafilisi wafanyakaz wa serikali hadi huruma
Riba ni kubwa sanaaa
Hapo mnataka kuuza gar za watu tuu
weka riba kwa mwaka ndio tukuelewe sasa masaa 24 ndio nini?PATA MKOPO CHAP CHAP IN 24 Hrs KWA KUTUMIA KADI YA GARI YAKO KAMA MDHAMINI.
Pata Mkopo hadi Tsh. 10 Million ndani ya masaa 24 kwa KUTUMIA kadi ya GARI yako.
Tunapatikana mikocheni Dar es salaam 24/7.
Note: Huduma hii ni kwa watu waliopo dar es salaam tu kwa sasa.
Call us now: 0689 138 536
Tupo Dar es salaam.
Karibu TukuhudumieView attachment 1184299View attachment 1184301
Riba ni 7.5% mkuuweka riba kwa mwaka ndio tukuelewe sasa masaa 24 ndio nini?
Nadhani hapo umenipigia kinume na standard za kimataifa ambapo riba ni per unnum (kwa mwaka) na inavyoonyesha hapo huo ni mwezi mmoja tuu.Riba ni 7.5% mkuu
Nadhani hapo umenipigia kinume na standard za kimataifa ambapo riba ni per unnum (kwa mwaka) na inavyoonyesha hapo huo ni mwezi mmoja tuu.
1. Mtu akichukua kwenu mkopo kwa mwaka mmoja riba ni (7.5 x 12) = 90%
2. Miaka miwili (7.5 x 24) = 150%
3. Miaka 4 (7.5 x48)= 360%
4. Miaka 6 (7.5 x 72) = 540%
Hapa ndio mnawapigia waalimu na kuwafanya wajiue kwa msongo wa mawazo wa madeni na kuishi katika mazingira magumu
Mkuu toa ufafanuzi kama wa jamaa acheni ujanja ujanjaMaximum time ya mkopo wetu ni miezi 12 and You can pay it in only a month. Hatutoi mikopo zaidi ya miezi 12. Kwa iyo unapopigia iyo accumulation ya mwaka mzima unakuwa unawapotosha watu mkuu