Pata mashamba Bagamoyo



Haya Mashamba yapo umbali gani kutoka barabara kuu?
 

Nauza Shamba ( kiwanja) Ni Heka Moja. kipo nyuma ya shule ya msingi Kilomo kilometer 3. kutoka kilomo Shule ya msingi. Bei kwa Heka ni Mil.4.5 (inaongeleka). Kama utahitaji Eneo zaidi Utaongeza hapo hapo ,coz Shamba ni kubwa sana.
kama una hitaji Ni pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…