Pata mashamba Bagamoyo

Kuna hekari 2 Kiromo njia ya bagamoyo.
 
Kwa wale wanao uliza maswali, kuhusu umiliki ni kwamba mashamba niliyo nayo, ni ya wakazi wa eneo husika wanafahamika na kijiji husika.
 
Jamaan nna laki5 nko dar nifanye biashara gan itakayonipa faida naomba wanajamii mnisaidie ushauri
 
Mbashamba niliyonayo yanauzwa na wakazi wa maeneo husika na wanajulikana na kijiji. Hivyo kutakuwa na kazi ndogo kujiridhisha.
 
Karibuni kwa wale wa mahitaji ya mashamba,ukanda wa bagamoyo.
 
Karibuni kwa wale wa mahitaji ya mashamba,ukanda wa Bagamoyo.
 
Kwa wale wahitaji mashamba na viwanja ukanda wa Bagamoyo karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…