M Mchapakazi sana Member Joined May 30, 2015 Posts 31 Reaction score 3 Nov 7, 2015 #1 Habari za wkend wapendwa wapendwa nauza kuku wa nyama na kusambasa mahoteli na sehem zozote panapoitajika, mzgo utakufkia popote ulipo ndani ya dar es salaam pekee kwa maelezo na mwenye kuhitaji njoo PM tuongee biashara. Ahsante.
Habari za wkend wapendwa wapendwa nauza kuku wa nyama na kusambasa mahoteli na sehem zozote panapoitajika, mzgo utakufkia popote ulipo ndani ya dar es salaam pekee kwa maelezo na mwenye kuhitaji njoo PM tuongee biashara. Ahsante.
okyo JF-Expert Member Joined Mar 16, 2013 Posts 2,003 Reaction score 1,508 Nov 7, 2015 #2 Hivi hao kuku hawana bei mkuu maana naona tangazo linahang tu hapo hadi kuku nao bei hutaji khaa
M Mchapakazi sana Member Joined May 30, 2015 Posts 31 Reaction score 3 Nov 7, 2015 Thread starter #3 okyo said: Hivi hao kuku hawana bei mkuu maana naona tangazo linahang tu hapo hadi kuku nao bei hutaji khaa Click to expand... samahan mkuu kwa kutokutaja bei ni sh elfu 5 upungufu upo inategemea na idadi ya wangap unahitaji
okyo said: Hivi hao kuku hawana bei mkuu maana naona tangazo linahang tu hapo hadi kuku nao bei hutaji khaa Click to expand... samahan mkuu kwa kutokutaja bei ni sh elfu 5 upungufu upo inategemea na idadi ya wangap unahitaji