Pata Kiwanja na Hati ndani ya Kiluvya.

Pata Kiwanja na Hati ndani ya Kiluvya.

Mpapatu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
221
Reaction score
121
Habari za Muda huu ndugu zangu, natumai mu wazima wa Afya. Polen kwa majukumu ya kujenga Taifa na kujikimu kimaisha.
Ndugu zangu nina mradi wa viwanja vya kutosha maeneo ya Kiluvya karibu na Kituo cha Madukani kwa wale wenyeji. site ipo karibu na mashamba ya Mh. Sumaye. Kwa wale watakao vutiwa na kuhitaji huduma zetu yafuatayo ni maelezo madogo ya site.

  • Site iko umbali wa Kilomita 7 kutoka Barabara ya Morogoro.
  • Site zote zina fikika kwa urahisi, kwa maana bara bara zimechongwa, na pia kwa sasa maji ndo yanaanza kufika na pia umeme karibia kufika.
  • kwa upande wa maendeleo eneo lina kadiriwa ndani ya miaka 3 hadi 5. kutakuwa na mji mzuri na ulio pangwa.
  • Viwanja vya mradi vina ukubwa tofauti kulingana na mahitaji ya muhusika. viwanja vinaanzia ukubwa wa 400 mita za mraba (400square meter) hadi 2000 mita za mraba.
  • Viwanja vinauzwa kwa bei ya 7000/= kwa mita ya mraba (7000/= per meter square).
  • Kwa muhitaji wa huduma zetu, atapata kiwanja cha ukubwa anaohitaji na hati yake ya kiwanja hicho. muhitaji atabakiwa na gharama moja tu ya mwanasheria kwa ajili ya kutia sahihi hiyo hati yake.
Natanguliza shukrani zangu, na kwa wale wote watakao hitaji huduma yetu au watakao hitaji ufafanuzi zaidi wawasiliane na mimi kwa kuni PM au watutumie barua pepe kupitia tamegproperty@gmail.com
 
asante kwa aarifa hii njema!samahani naomba kujua,je mradi huu ndo ule wa kushirikiana na NSSF au wako binafsi?maana nilisikia NSSF wanapima viwanja kiluvya!
 
Huu ni Mradi binafsi, na tulifanikisha kupitisha mchoro Wizara ya Ardhi tangu Mwaka 2012. Karibu sana ndugu Andishile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom