Pata kiwanja chako hapa

delako

JF-Expert Member
Oct 6, 2012
2,611
2,000
Rejea kichwa cha habari hapo juu,kiwanja kinapatikana kwa 5milion.kipo mkulanga kise magengeni.DAKIKA 5 kutoka barabara kuu kwa miguu .UKUBWA NI 35 kwa 30 Hakijapimwa.

KINGINE KINAPATIKANA KWA 12 milioni ukubwa 40 kwa 35 kipo kinyerezi kibaga karibu na shule ya zabga sekondari na Kingine kinapatikana kwa milioni 6 kipo kinyerezi mwisho wa lami ukubwa 20 kwa 20.VYOTE HAVIJAPIMWA.

KILICHOPIMWA KINAPATIKANA KWA MILIONI 30 KINYEREZI KARIBU NA SHULE YA NEW VIBE SEKONDARI

NJOO PM AU 0756 587175
 
delako

JF-Expert Member
Oct 6, 2012
2,611
2,000
NINA NYUMBA MBILI PIA ZINAPATIKANA,KWA 150 milioni kila moja.Moja hipo tabata mawenzi na nyingine inapatikana magomeni.Zipo ktk hali nzuri,for more info unakaribishwa
 
GREENER

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
628
1,000
Rejea kichwa cha habari hapo juu,kiwanja kinapatikana kwa 5milion.kipo mkulanga kise magengeni.DAKIKA 5 kutoka barabara kuu kwa miguu .UKUBWA NI 35 kwa 30 Hakijapimwa.

KINGINE KINAPATIKANA KWA 12 milioni ukubwa 40 kwa 35 kipo kinyerezi kibaga karibu na shule ya zabga sekondari na Kingine kinapatikana kwa milioni 6 kipo kinyerezi mwisho wa lami ukubwa 20 kwa 20.VYOTE HAVIJAPIMWA.

KILICHOPIMWA KINAPATIKANA KWA MILIONI 30 KINYEREZI KARIBU NA SHULE YA NEW VIBE SEKONDARI

NJOO PM AU 0756 587175
cha m6 bado unacho?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom