Hah hah umenichekesha kweli au ni kama mbweha baada ya kula karanga gharani na kupata shibe akaomba abweke kidogo mwishowe akanogewa akaanza kubweka kwa sauti kubwa hadi mwenye ghala la karanga akashituka sasa hawa wasiotaja bei nao wanataka wajulikane kama nao wapo JF

Kama ulikuwepo!! na wengine hao tena huweka namba ya simu halafu piga uone kama itapokelewa!! inakuwa kama enzi zilee hizi mobile zilivyoingia, mtu anakuomba umpigie ili watu waone naye analo pisi lake la Mshindi!!
wamefanya vizuri tulianzia na yale mapisi ya mshindi tungeanza mobile na Iphone sijui ingekuaje!!??
napita tuu