Pata KITANDA na GODORO 5X6 kwa bei cheee

Kiboko.

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
2,896
Reaction score
1,214
Salam wakuu....
Nauza kitanda na Godoro vyote kwa Pamoja na 220,000/- kipo katika hali nzuri na godoro limetumika mwaka mmoja tu bdo lipo kwenye ubora wake kama jipya tu vile... mazungumzo yapo...kwa anaehitaj tuwasiliane inbox...mimi nipo Dar es salaaam


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…