Ukweli ni kwamba...Samahani mkuu, hizo jezi original mbona huko Ulaya kwenye website za timu zinafika Hadi laki 2 kwa pesa yetu hii?
Sasa nyie mnafanyaje Hadi mnauza 18,000.?
Au mnanunua nyingi mnapewa discount?
Mnachouza nyie wala sio toleo namba 2. Ni copy za kichina.Ukweli ni kwamba...
Sababu ni
1. Toleo namba
2. Kodi
3. Discount
Sisi tunachukua toleo namba 2, na kodi siyo kubwa sana.
Then tunauza kwa Jumla, ila jezi hiii ukiikuta mtaani utauziwa Tsh 35,000/= na mkoani bei inakuwa juu zaidi.
Toleo namba moja, wabongo wengi hawazimudu kwa gharama.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sawa...Mnachouza nyie wala sio toleo namba 2. Ni copy za kichina.
Sio vizuri kumkejeli mwenzako kwenye biashara yake zinaweza zisiwe original yaan first class lakin zina ubora tofauti na za 7000Samahani mkuu, hizo jezi original mbona huko Ulaya kwenye website za timu zinafika Hadi laki 2 kwa pesa yetu hii?
Sasa nyie mnafanyaje Hadi mnauza 18,000.?
Au mnanunua nyingi mnapewa discount?
Acha kumkejeli mwenzako kama unaweza nunua sio unapondaponda wakati ATA baiskeli Hauna unakutaMnachouza nyie wala sio toleo namba 2. Ni copy za kichina.
Kwa hapa Dukani muda huu zipo za Buyern munchen, Arsenal, Liverpool na Barcelona.Za man u zipo?
Poapoa nilidhani za man u pia zipoKwa hapa Dukani muda huu zipo za Buyern munchen, Arsenal, Liverpool na Barcelona.
Ila kesho za Man U zitakuwepo, mzigo mkubwa unagika kesho.
Karibu sama, uzi ni mzuri.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Duka lipo wapi hapo Kasulu?FC Buyern munchen
Arsenal
Liverpool
FC Barcelona
Na nyingine kibao zote zikiwa ni original.
Nauza kwa Jumla na Rejareja
Jumla Tsh 18,000/= kuanzia 5pcs
Rejareja Tsh 22,000/=View attachment 2653476
Simu 0622882036
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Thanks...Duka lipo wapi hapo Kasulu?