Nakupongeza ndugu yangu kwa kazi yako, taratibu tuta fika mbali na ipo siku utatengeneza zenye obora zaidi hadi 90%.
Kitu kingine labda nikupe ushauri kidogo labda itasaidia kwenye kutangaza biashara.
Ni vema uka funguka zadi unapo tangaza biashara yako, tumia hata saa nzima ya kuandaa na kuadika matangazo yako ili yavutie na iwe rahisi kwa wateja, ndio maana makampuni mengi hua wanalipia gharama kubwa kwa matangazo tu.
Hapa unge weka au kuandika hizo incubator ulizo kuanazo bei na uwezo au idadi ya mayai, Mfano
mayai 50 bei.. ni automatic au sio, ni Watts ngapi, au inatumia mafuta ya taa.
mayai 100.. bei
mayai 500 bei.. watts? automatic? N.K.
Sasa mteja ukimpa details nyingi atavutiwa kuliko aanze kuku andikia na kukuulize hayo masuali labda wakati anasubiri jibu akapata sehemu nyingine penye maelezo zaidi na akaridhika hapo na akanunua direct, wewe utakua umekosa mteja hapo.
Kila la kheri ndugu yangu.