mkuu kwa uchafuu huo wa choo si naweza pata cancer na kifafaMaster-bedroom kubwa sana maji yapo yanaflow chooni ,kipo mawasiliano stand kama unaenda sinza
Master-bedroom kubwa maji muda wote full tiles and gypsum plus car parking ...
Bei 150 kwa miezi 6..
0789805698 (kwa mawasiliano zaidi)View attachment 742299View attachment 742300View attachment 742301
Specifications hizo kwa bei hiyo Ubungo sidhani labda achakarike na Kimara. Buza uhakika anapata.Ndugu yangu anahitaji chumba around ubungo.
Kiwe na muonekano mzuri tiles, singboard nzuri na nyumba yenye maji ya dawasco.
Bajet yake ni 50000 tu.
Wewe ni dalali?Specifications hizo kwa bei hiyo Ubungo sidhani labda achakarike na Kimara. Buza uhakika anapata.
Sinza chumba kina geti, ceiling board, tiles hakuna na ni 80K
Umeandika kwa ukali kweli kweli.Wewe ni dalali?
Acha kukatisha watu tamaa nimekaa ubungo chumba chenye sifa kama hizo kwa bei hiyo alafu mm sio mgeni na ubungo.
Acha uvivu wa kufikiri na kuwakatisha watu tamaa wakati huna unachokijua.