Napenda bima , mwaka huu nilikata ya resolution hovyo kabisa siwaongezi pesa hawana hospital kabisa
.. Tangazo mfu kabisa hili, ningekuwa moja ya viongoz kwenye hyo kampuni ningekucharaza bakora za kutosha alafu nikupeleke kitengo cha usafi na mazingira.Tunatoa bima aina zote kama zifuatazo:
- Bima za maisha
- Bima ya gari, bajaji, lori, scaveta
- Bima za mashine
- Bima za ofisi
- Bima ya kikundi (kikoba au taasisi)
- Bima za fedha ( bank, wakala au bureau exchange)
- Bima ya nyumba (vitu vya ndani, simu, laptop, pete, dhahabu, wafanyakazi wa ndani) hii inaitwa domestic package hii ni nafuu kuliko zote
Kabla hujanunua bima kwetu tunakushauri na kukupa maelezo sahihi ni vipi utalipwa pamoja mambo gani yatafanya usilipwe.
Wasiliana na sisi 0765 827 355 tupo Dar es salaam Posta karibu na Ramada hotel
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaaa hiyo bima hata bure sipokei.Napenda bima , mwaka huu nilikata ya resolution hovyo kabisa siwaongezi pesa hawana hospital kabisa
Daaaaa hiyo bima hata bure sipokei.
Tuulize sisi wafanyakazi tuliowahi kutumia.
Kila hospitali ukienda ukitoa hiyo kadi wanatema mate na kukufukuza kama mbwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hatujakupigia embu naomba kujuaTunatoa bima aina zote kama zifuatazo:
- Bima za maisha
- Bima ya gari, bajaji, lori, scaveta
- Bima za mashine
- Bima za ofisi
- Bima ya kikundi (kikoba au taasisi)
- Bima za fedha ( bank, wakala au bureau exchange)
- Bima ya nyumba (vitu vya ndani, simu, laptop, pete, dhahabu, wafanyakazi wa ndani) hii inaitwa domestic package hii ni nafuu kuliko zote
Kabla hujanunua bima kwetu tunakushauri na kukupa maelezo sahihi ni vipi utalipwa pamoja mambo gani yatafanya usilipwe.
Wasiliana na sisi 0765 827 355 tupo Dar es salaam Posta karibu na Ramada hotel
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hatujakupigia embu naomba kujua
1. Hiyo bima ni insurance company gani
2. Wewe ni Insurance company/Broker/Agent
3. Ofisi zenu mnapatikana wapi
Naomba nijibu haya kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda bima , mwaka huu nilikata ya resolution hovyo kabisa siwaongezi pesa hawana hospital kabisa
.. Tangazo mfu kabisa hili, ningekuwa moja ya viongoz kwenye hyo kampuni ningekucharaza bakora za kutosha alafu nikupeleke kitengo cha usafi na mazingira.