Pata Bajaj kwa bei poa.

Pata Bajaj kwa bei poa.

mjasiria

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
4,155
Reaction score
1,866
Wakuu,
Nina Bajaj naiuza, hii ni baada ya kuamua kuachana na hii biashara. Vielelezo (specifications) vyake ni kama ifuatavyo:
  • Ni 4 strokes (205 cc)
  • Ni ya April 2011
  • Iko Dar es salaam.
  • Bei ni Tshs 3,500,000/=
Iko katika hali nzuri na zaidi kuiona ni bure. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba hizi 0714 539 263 / 0684 11 76 22

Samahanini nimeshindwa kupandisha picha kutokana na mtandao kuwa wa taratibu sana.
 
Imeshawahi kupata ajali nini au umiza kichwa ya madereva imekuzingua? Nina madereva wazuri kwa nini usinipe tuwekeane mkataba nisimamie uletewe hesabu mpaka hiyo 3.5 ifike kisha iwe yangu? Kwa kufanya hivyo utanisaidia na mimi nimiliki chombo kama avatar yangu inavyoomba
 
Jitahidi kuweka picha, mimi nahitaji bajaji nipo njombe kama bado ina maisha nitakupa 2500000 je unakula hiyo cash? Ila tushawishi kwa kuweka picha.
Mkuu hiyo bei ni ndogo sana, Ongeza fedha tuongee vizuri. Nakuhakikishia huu mzigo ukiuchukua hutajilaumu, kitu kiko bomba sana tu.
 
Imeshawahi kupata ajali nini au umiza kichwa ya madereva imekuzingua? Nina madereva wazuri kwa nini usinipe tuwekeane mkataba nisimamie uletewe hesabu mpaka hiyo 3.5 ifike kisha iwe yangu? Kwa kufanya hivyo utanisaidia na mimi nimiliki chombo kama avatar yangu inavyoomba
Mkuu hii kitu bado iko safi kabisa, kinachonifanya niiuze, ni kuwa nimeamua kufanya uwekezaji kwenye biashara nyingine tofauti na hii,.
 
Nipe kwa 2.5m, halafu weka picha.........so far ina tatizo gani..........PM please
 
Nipe kwa 2.5m, halafu weka picha.........so far ina tatizo gani..........PM please
Mkuu nimeku-PM, kuhusu picha nitajitahidi kama nitafanikwa next time ukiingia utakutana nazo.
 
Back
Top Bottom