Habari za majukumu wadau!
Naombeni msaada wa past papers za mock za masomo karibu yote ya kidato cha sita. Past papers hizo zisiwe za Dar,pia kama utakua na uhitaji wa past papers za Dar basi tutaweza kubadilishana.
Natanguliza shukrani za dhati.