Pasaka njema wanachitchat wote

I beseeched thee to think of the repercussions of your undertakings.

Now if u don't mind stay out of my way.

oh..no no Karucee..
should I find another writing to overtake?
 
Last edited by a moderator:
Pasaka njema mrembo Vitaimana

karibu MOLEMBE tena ujiachie kama dila la lakimbili! Nakupikia kuku na tembele hatutaki zaidi, turidhike na afadhali daddie!...nimejituliza jikoni.
 

Attachments

  • 1428391146240.jpg
    64.2 KB · Views: 44
Last edited by a moderator:
लफफप शच शर शकयत शपया अपचश ९झ च छ छच ज टà¤- à¤- छचछच रच यचयच
 
Bbbby MOLEMBE ukujeeeee the foood is readyyyyy
 
niandike bwana nllikuwa nakutania tu hebu niandike nipate umaarufu mara 2
Sikuona utani kwenye post yako ladyfurahia.Ulikuwa serious tena umekunja ndita.Ulifikiri nachafua watu au kuwasema vibaya. Sina nia hiyo wala si tabia yangu kuwasema watu vibaya.Sasa nafanya hivi: Sitakufungulia thread, ila nitaupdate ile thread Part 4. Muda wowote kuanzia sasa cheki hiyo thread utamkuta ladyfurahia katinga huko na jeans yake. Karibu!
 
Last edited by a moderator:
i'm realy sorry my dia hukunielewa wala hatukuelewana bestito sikukunja sura basi ni mojawapo ya text zangu huwaga nikiandikaga watu wanadhani naandika kwa command fulani lakini siko hvyo am happy sana nimeona kule bestito nashukuru ila naomba nilijue hilo jina langu la utani hahahahhahahaha ingia kule katika room basi nakusubiria my dia
 
Ha ha......karibu sana.........
ila itabidi utumie Puma.........kuna kamvua mvua kidogo pande hii...........
usisahau kuwapitia....... MANI...... RRONDO na OLESAIDIMU.........
niwatakie nao pia pasaka njema..........

Daaanh ilinipitaje hii my dada Preta...........ama kweli damu ya kunguni sina bahati
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…