Pasaka njema wanachitchat wote

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Nachukua fursa hii kuwatakia wanachitchat wenzangu wote Pasaka ya furaha na amani.Muwaweke watoto wenu 'kibindoni' msiwaachie wajiendee wenyewe kwa kisingizio cha 'kwenda kula pasaka kwa jirani'.

Pamoja na hayo, napenda kuwataarifu pia kwamba zile series za 'My Secret Nicknames and Impressions jf members zitarudi tena jumanne 8/4/2015.

Watakaozungumziwa ni: Matola Nyani Ngabu amaizing Heaven on Earth Karucee ladyfurahia
Pia kutakuwa na masahihisho kidogo kumhusu Preta

Be on the lookout on that day
 
Nawe pia uwe na Pasaka njema
Asante dadaangu.Tukutane j4 tarehe 8 nikueleze upya jambo ambalo nililikosea sana juu yako ingawa hukupenda kukataa.
 
Tuko pamoja SHIEKA tunaisubiria hiyo sehemu ya 4,ila kumbuka leo hairuhusiwi kula nyama.
 
Last edited by a moderator:
Asante dadaangu.Tukutane j4 tarehe 8 nikueleze upya jambo ambalo nililikosea sana juu yako ingawa hukupenda kukataa.

Sikuona.........ni kuhusu nini.........?.....
 
Mkuu pasaka hii mtachinja kambuzi nije nivizie japo tumiguu?
 
Mkuu pasaka hii mtachinja kambuzi nije nivizie japo tumiguu?

Hii pasaka lazima nyanyi dume iangushwe..........karibu sana......nitakuwepo Naberera kipindi hiki..............
 
Hii pasaka lazima nyanyi dume iangushwe..........karibu sana......nitakuwepo Naberera kipindi hiki..............

Niuchukulie huu kama mwaliko rasmi sio? Nakuja na Amarok😀
 
Hahahaaaaa nyongo itaharibu utamu yachomwe tu na ndimu na pili pili

hahha SHIEKA umesikia ndugu yangu? Aisee mgosi fanya uje na yule mdada wa airtel korogwe aliyepata Ist
 
Last edited by a moderator:
hahha SHIEKA umesikia ndugu yangu? Aisee mgosi fanya uje na yule mdada wa airtel korogwe aliyepata Ist

Hahahaaaaa yule dada wa "nikazani ni yale matapeli"
 
Last edited by a moderator:
Niuchukulie huu kama mwaliko rasmi sio? Nakuja na Amarok😀

Ha ha......karibu sana.........
ila itabidi utumie Puma.........kuna kamvua mvua kidogo pande hii...........
usisahau kuwapitia....... MANI...... RRONDO na OLESAIDIMU.........
niwatakie nao pia pasaka njema..........
 
Last edited by a moderator:
Tuko pamoja SHIEKA tunaisubiria hiyo sehemu ya 4,ila kumbuka leo hairuhusiwi kula nyama.
Nashukuru malenga wangu Idd Ninga. Huku hata kama daktari alikuandikia alhamis ule nyama leo ijumaa hutoweza kuipata maana hakuna ng'ombe aliyechinjwa leo. Leo ni maharage na samaki tu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…