Part time Quantity Surveyor

mkadiriajimajenzi

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
549
608
Nina uzoefu wa miaka mitatu na nusu katika taaluma hii,Natafuta makampuni au mashirika yanayohitaji huduma ya Quantity surveyor kwa muda (sio ajira).
Nina uzoefu wa hali ya juu sana katika kazi zifuatazo;
1.kuandaa Bills of Quantities (BoQ)
2.Kudai malipo kwa Client kupitia kazi zilizofanywa na Contractor
3.Kudeal na Variations
4.kuandaa schedule of materials
5.kuperform tender actions (Invitations and Evaluations)
Ukihitaji huduma yangu adhimu kwa gharama nafuu usisite kuniPM.Wahi bado haujachelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom