View attachment 164353Wacholaji nao hawako nyuma kuchola mbwembwe za kombe la Dunia mitaani.
View attachment 164354Tiketi yangu ya mechi ya ufunguzi unapewa na hivi vitu kama ishala ya ukumbusho.
View attachment 164356Mtaani nako ndivyo kunavyoonekana
View attachment 164357View attachment 164358Madukani nako mambo yote unapata tu utakayotaka
View attachment 164360Ulinzi pia upo wa kutosha ingawaje kunamaandamano ya hapa na pale na katika ufunguzi baadae leo inakisiwa yanaweza kuwa makubwa nje ya mitaa inayozunguka uwanja mechi itakaochezwa ingawaje mamlaka husika zimetangaza kuimalisha usalama
View attachment 164361Copacabana beach
View attachment 164363Ufukweni watoto kama hawa wazuri wapo sana
View attachment 164364Nitaendelea kutupia baada ya masaa 3 badae nitaedit nyingine na Napita mwenyewe nikiwa ndani watajuaje niko huku nisipoonekana soon zitafuata......