zina kuongoza na kukutaarifu uwepo wa kikwazo kwa kutoa mlio na pia kuonyesha umbali kutoka kwenye kikwazo.
Mara nyingi zinafungwa kwa nyuma na kuunganishwa na mfumo wa reverse wa gari
zinasaidiaje?:
-ina display inayoonyesha umbali(proximity) kutoka kikwazo(object)
-ina onyesha ukaribu kushoto na kulia kutoka object
-inalia alarm ikiwa object ipo karibu sana..(within 1.5m)
kikwazo gani zinatolea taarifa?
-vikwazo vyote ambavyo itaweza kuvitambua ndani ya (angle ya 60 degrees plus ndani ya mita tatu)
-nitapost specifications zote za sensor ili ujue uwezo wake.