Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,651
- 11,639
Timu ya PSG baada ya kufungwa isivyotarajiwa kikandanda imekata rufaa kwa chama cha Mpira cha ulaya UEFA kwa kusema refa Deniz Aytekin's Kutoka Ujerumani aliyechezesha mechi baina yao na Barca alipoteza umakini na kushindwa kuongoza kwa haki na kuwafanya wao kupoteza mechi kwa goli 6-1 ugenini katika mashindano ya vilabu Bingwa ulaya. Mtandao wa ESPN umedhiitisha kutoka chanzo cha karibu na Klabu hiyo ya ufaransa.
Kikosi cha Kocha Unai Emery kilizidiwa na kuwafanya Barcelona kutoka nyuma hadi kufanikiwa kuwatangulia kwa jumla magoli 6 dhidi ya 5 ukichanganya kwa mechi zote.
Lakini PSG hawaamini kuwa kikosi cha Kocha Luis Enrique kushinda bali kilisaidiwa na maamuzi mengi ya Mabovu ya refa wa mchezo huo kutoka Ujerumani.
Matandao wa Marca dot com umeelezea na kuonesha kuwa PSG wamekabidhi rasmi rufaa yao kwa Aleksander Ceferin Raisi wa Chama cha mpira cha Ulaya, na idadi ya maamuzi mabovu yaliyofanywa na refa Aytekin dhidi ya Mabingwa hao wa Ufaransa katika mchezo wao wa pili Mjini Catalonia Barcelona.
Chanza cha habari kilicho karibu Les Parisiens tokea kiifahamishe ESPN FC kuwa rufaa ipo na ishakabidhiwa kwa badi ya mpira wa miguu ya ulaya.
Timu ya Paris Saint-Germain haikuweza kuzuia ushindi wao wa magoli manne iliyoupata nyumbani katika mechi yao ya kwanza dhidi ya timu ya Barcelona.
Pamoja na kukubali kufungwa kwenye mechi ya pili, Wana PSG katika maandishi yao wamelalamika idadi ya makosa ya Luis Suarez kwa kujiangusha katika eneo la penati na kusababisha penati ya pili na Mlinzi wa Barcelona Javier Mascherano kumfanyia madhambi Kiungo wao Angel Di Maria--Ambae baadae alikubali kosa vitu ambavyo vilichangia.
Penati hatukupewa kwa Mascherano alipounawa mpira, na Gerard Pique hakupewa kadi ya pili ya Manjano, faulo ya Thomas Meunier kwa Neymar akajiangusha na Messi akafunga goli la penati na Neymar kumchezea faulo Marquinhos vyote vimeorodheshwa.
Maamuzi ya refa Aytekin yameelezwa ni mabovu mno Nchini Ufaransa na Nchini Uhispania pia vyombo vya habari vinataka ipigwe kura kuwa Mechi hiyo irudiwa sababu refaree Mjerumani alipoteza uwezo wa kukontroo mchezo kwa maamuzi yake.
Kocha wa PSG Emery alisema timu yangu ''tumepoteza kila kitu sababu ya maamuzi ya refa Aytekin mara baada ya Mechi, Wakati huo Mwenyekiti na CEO wa klabu hiyo Bwana Nasser l-Khelaifi alijaribu kujiepusha kutoa sababu zozote lakini alikili kuwa timu yake haikstahili kufungwa kwa zile Penati.''
Pique alistahili kadi ya pili ya Manjano picha ya chini
Marquinhos Akikwatuliwa na Neymar chini
Suarez akichumpa mwenyewe chini kana kwamba kuna bwawa la kuogelea chini
Pique's akiunawa mpira picha ya chini
Marcherano akiunawa mpira picha ya chini
Source