Mbappe, Cavani na Neymoney (Neymar) wapo katika kutengeneza "the Trident of their own" (MCN). Kwa usajili walioufanya msimu huu wa 2017/2018, PSG itakuwa ni miongoni mwa timu ambazo zitatazamwa kwa ukaribu sana katika Champions League na katika Ligue 1. Kwa kuwa bado timu hii haina mashabiki wa kutosha hapa Tz, si vibaya wale "plastic Fans" wanaohamia timu kutokana na majina ya wachezaji kutumia uzi huu kuwafuatilia kwa ukaribu MCN. Karibuni
Moderator