Trueman m JF-Expert Member Joined Nov 26, 2014 Posts 404 Reaction score 507 May 22, 2024 #22 bhakamu said: Bado !nimekaaa Tamaa yatakayobaki ndo hayhayo Click to expand... Mwaka huu miti mingi imepukutisha, nahisi ni sababu ya mvua, ninao mti mmoja huuni uzao wake wa pili umebakiza matunda 22 tu! Mara ya kwanza ulipukutisha yote.
bhakamu said: Bado !nimekaaa Tamaa yatakayobaki ndo hayhayo Click to expand... Mwaka huu miti mingi imepukutisha, nahisi ni sababu ya mvua, ninao mti mmoja huuni uzao wake wa pili umebakiza matunda 22 tu! Mara ya kwanza ulipukutisha yote.