Papuchi kwisha

Hahaha mbona hawajasema kama ina miguno maana isijekuwa kama unapiga puli tu!
 
Hahahaha hilo litakuwa kimbilio la madomo zege, ila madomo zege huwa yananufaisha sana wanawake wapiga mizinga maana yenyewe huwa pesa ndio kinga na nguzo ya mapenzi kwao
 
Hiyo ndude ina bei kinoma average ya 15,000 usd, bado maintenance cost. sasa hiyo kibongo bongo ni mwananyeto ataaford?
 
Asili ni asili tu, papuchi OG bado ina raha yake.
 
Bado sijashawishika aiseee, nitafakamiaje mdoli ingali wanawake wazuri warembo watamu kuzidi asali mbichi wamejaa bwerere uraiani huku, "d" keshokutwa ni kukumwaga maji mwanzo mwisho- kutiana raha sana
 
Thamani ya Mama yako na Dada yako kamwe haiwezwi kuwa na mpinzani,hilo doli linaweza likakuzalia?hilo doli linaweza kukupikia na kukusaidia pindi utakapoumwa,
 
Hahahaha hilo litakuwa kimbilio la madomo zege, ila madomo zege huwa yananufaisha sana wanawake wapiga mizinga maana yenyewe huwa pesa ndio kinga na nguzo ya mapenzi kwao
Yaani hiyo ni advanced nyeto. Wazungu wanataka kuwaharib watu kwa kuwarahisishia njia za nyeto kama hivyo
 
Ah wapi? Bado sanaaaaa. Kama kweli kwisha habari yetu wapeni uja uzito.
Kama unadhani kila anayeto..mba anataka kutia mimba umechelewa mno nyetto zinapigwa sana!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…