Azizi J Hamad
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 442
- 230
Na wewe ulie reply umepoteza nini?Wazee na watu waliopoteza ramani ndio wanasikiliza hivyo vipindi vya matapeli wa ccm.
Sawa mkuu lakini mngewashauri sasa wafungue account jamii forum yangu ni hayo
Unamjuaje mwizi kama wewe sio mwizi?Majizi ya kura hayawezi kuja huku maana wanajua hakuna wa kuwaongopea. Huko kwenye vipindi vya TV wanapangana majizi ya kura ili kuhadaa umma.
Na wewe ulie reply umepoteza nini?
Ni mwizi wa kura ndio maana nawajua nyie majizi.Unamjuaje mwizi kama wewe sio mwizi?
Kuna watu wanakula mema ya nchi pole pole akiwa ni mmoja wao.
Nchi yako wewe na nani?Mimi nitawauliza kero yangu ndogo; Ya ni lini hasa, iwe siku/mwaka mtakayo kubali kwa hiyari kutuachia nchi yetu!
Maana Watanzania tulio wengi kiukweli TUMEWACHOKA
Sasa kama wewe ni mwizi una uhalali gani wa kumshambulia mwizi mwenzako, nenda katubu dhambi zako kibaka mmoja wewe.Ni mwizi wa kura ndio maana nawajua nyie majizi.
Wazee na watu waliopoteza ramani ndio wanasikiliza hivyo vipindi vya matapeli wa CCM.
Mburula tu huyu, alizdhani kugombea lazima achaguliwe. Amebakiza kinyongo tu.Tindo! Aisee wewe ni kiboko!
Mburula tu huyu, alizdhani kugombea lazima achaguliwe. Amebakiza kinyongo tu.