ndugu yangu acha unafiki na uongo bwana emanuel papian ni mtanzania, ameingia wilayani kiteto mwaka 1991 akiwa mwajiriwa wa serikali na akapangiwa kituo cha kazi dosi dosi akiwa bwana shamba, baada ya miaka 3 akahamia kijiji cha engusero akafunguwa kiosk huku akiendelea kulima nchinila akisadiana na mdogo wake aitwaye dokta, ndani ya misimu mitatu ya kilimo akaweza kuwa mkulima mdogo na kukuza biashara yake na kuwa maduka makubwa. Wanaofanya mauaji kiteto wanajulikana na wanapata support ya viongozi wenye asili ya wafugaji,wana kiteto wengi hawamjue mbunge wao nangoro na huyo mbunge ni mzigo bora apumzike ameturudisha nyuma sana kimaendeleo