Wataamini kwa vile hao watu ni waumini wa dhehebu Katolikikuna wengine hawaamini uwepo wa jahanam kwahiyo papa kuwambia kuwa watachomwa moto hawatakuelewa naona utafute mbinu mbadala
mafia mi hata siwajui ngoja nipite zangu
nasikiaga tu stori ya mafia
Actually ni kweli kua mafia ni wakatolic na waaminifu kwa imani yao,nahii ni kwasababu catolic asili yake ni hapohapo italy,tena mafia zamani walikua wanaingilia mchakato wa kuteua papa.
Huyu pope ajichunge sana.
mafia mi hata siwajui ngoja nipite zangu
kuna italian mafia na pia american mafia,sio rahisi kuwapata kihivyo,hao ni organised crime na wanakua na influence kubwa serikalini.Hao MAFIA siyo magaidi?na makao yao si italy?kwa nini marekani haiendi kuwatafuta?
ndo ukweli mkuu sema wewe hujihangaishi kuutafuta,hao jamaa ni waumini wazuri ila mambo yao usiwaingilie,kwani watakupoteza.Mbona unatakuniharibia weekend yangu tena?
kule italy sehemu inaitwa cisil ndo chimbuko lao,umafia ni kama culture kwao,kwahiyo inakua open secret,na wanakiapo chao cha Omerta,ukiwachoma kwa polisi,wewe na watotowako,mkeo,babako,babu mtakufa,na haijalishi ipite miaka mingapi,watawasaka popote na kuwaua.Mafia iko sehem nyingi lakini hawajitangazi kama kule rasi ya Italia.
actually hii issue ilikua hot topic hivi karibuni baada ya kukaririwa akisema,the church beliave there is no hell in the literal meaning of hell where people suffer''.Hivi story za motoni na vitisho vingine ndo huwa naonaga hizi dini ni fix tu...
Vitisho vimekuwa vitisho!!!