Hawa ni pandikiziWale vijana wapiga mapanga usiku maarufu kama panya Road wameibukia Bunju ambapo Jumamosi iliyopita walitinga Bunju B mitaa ya KIHONZILE na kuumiza watu zaidi ya 8 na kuiba vitu kadhaa zikiwepo TV na simu za mikononi na fedha.
Tukio hilo ambalo halikutangazwa popote kutokana na OCD wa Kawe kulifunika na hivyo wananchi kutopata habari na kujiweka ktk tahadhari limepelekea usiku wa kuamkia leo panya road wameibukia mitaa ya maarufu kama kwa Mama Munuo na kuendeleza ubabe huohuo.
Katika matukio yote mawili Polisi walipigiwa simu ila hawakupokea na pia Polisi wa dharura wanaokaa maeneo ya barabarani walipofuatwa hawakuwepo eneo hilo.
Tunaomba Serikali kupitia Bunge lake linalofanya vikao vyake kijini Dodoma kwa dharura wajadili kadhia hii siku ya leo na kupeleka askari wa kutosha eneo hilo.
Kwani Bunge wanajadili nini cha maana kule mpaka unaona hawawezi kujadili panya Road swala la usalama wa raia ni muhimu mno mno...Yaani bunge lijadili panya road? Acha masihara hayo, hivi vitoto mnavifuga wenyewe ndio bunge liache kazi zake kuwajadili?
Ningekuona wa maana ungesema bunge lijadili ukali wa maisha.
Kwani bunge linafanyaga kazi gani, zaidi majigambo ya kinyiramba na kuzodoana.Yaani bunge lijadili panya road? Acha masihara hayo, hivi vitoto mnavifuga wenyewe ndio bunge liache kazi zake kuwajadili?
Ningekuona wa maana ungesema bunge lijadili ukali wa maisha.
Wasiwavamie home kwenu Obey wakuibie PS5 utalia nabmshua atakununulia nyingine.Inasikitisha sana...
polisi wetu kwenye matukio ya kushutukiza usiwaite labda iwepo helaWale vijana wapiga mapanga usiku maarufu kama panya Road wameibukia Bunju ambapo Jumamosi iliyopita walitinga Bunju B mitaa ya KIHONZILE na kuumiza watu zaidi ya 8 na kuiba vitu kadhaa zikiwepo TV na simu za mikononi na fedha.