Pangisha nyumba hii fasta.

Pangisha nyumba hii fasta.

benbry

Senior Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
183
Reaction score
55
Nyumba ina sebule na vyumba viwili, kimoja ni master, kina jiko tena kubwa tu, kina choo kingine cha public, tiles, aluminium windows, ndani ya fence na parking ipo. Maji yanatoka mara mbili kwa wiki, na pia ya kisima yapo. Bei laki tatu kwa mwezi, kodi ya miezi sita. Ipo opposite na mabibo hostel na ni krb kbs na mandela road. Msiniulize picha, ukiipenda njoo kesho nikuonyeshe.
 
Laki 3 halafu water lenyewe cheche! We utakua dalali mwenye nyumba kasema laki 1.5 au laki 2 ila wewe ndo unakomaa,poa unaweza pata
 
Laki 3 halafu water lenyewe cheche! We utakua dalali mwenye nyumba kasema laki 1.5 au laki 2 ila wewe ndo unakomaa,poa unaweza pata

mkuu hujui bei za nyumba mitaa hiyo, sinza, knyama na kinondoni. Nenda mbagala maji matitu
 
mkuu hujui bei za nyumba mitaa hiyo, sinza, knyama na kinondoni. Nenda mbagala maji matitu

Mbagala napata chumba kwa elfu 20,000 kiroho safi
Kumbuka laki tatu ndo posho wanayolipwa hawa wajumbe wa bunge maalumu la katiba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom