M Matonya Mazengo JF-Expert Member Joined Jul 30, 2017 Posts 235 Reaction score 141 Oct 26, 2017 #1 Ndugu wana jf, ninaomba kuwauliza wale wa taalum au wanafahamu ni panel gani iliyo bora kwa matumizi ya nyumbani? ikiwemo kutumia kwenye jokofu, kiyoyozi nk. naomba msaada wenu nitavipata wapi na kwa bei gani.
Ndugu wana jf, ninaomba kuwauliza wale wa taalum au wanafahamu ni panel gani iliyo bora kwa matumizi ya nyumbani? ikiwemo kutumia kwenye jokofu, kiyoyozi nk. naomba msaada wenu nitavipata wapi na kwa bei gani.
DR. MWAKABANJE JF-Expert Member Joined Nov 7, 2012 Posts 1,986 Reaction score 3,151 Oct 26, 2017 #2 Unataka kujua brand ya solar iliyo bora ama kujua kiwango cha watts za solar au vyote???