Panauma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Panauma!

Discussion in 'JF Doctor' started by VUTA-NKUVUTE, Nov 21, 2011.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,872
  Likes Received: 6,624
  Trophy Points: 280
  Upande wangu wa kulia chini ya kitovu una maumivu makali yanayoambatana na tumbo kuunguruma.Nimefanya vipimo vya Ultrasound nikaambiwa kuwa sina tatizo.Mahala hapa bado panauma.Hili ni tatizo gani? Tiba yake ni ipi?
   
 2. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  pole sana, ngoja waje wataalam.
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,618
  Trophy Points: 280
  Madamu umecheki mpaka (Ultrasound) na hawakuona kitu isijekuwa umetendewa huko uliko mambo ya kiswahili (magic) nina hisi una wewe Hernia inakuanza ingawa hujasema ni muda gani hayo matatizo yamekuanza? Nina kupa First Iad Jaribu kutumia hizi dawa Msokoto wa tumbo:
  Chemsha uzuri Anisuni, kamuni (bizari nyembamba au uzile) na nanaa kwa vipimo sawa na tia Asali kidogo, halafu tia matone saba ya habbasouda (mafuta) kwa kiingereza hayo mafuta yanaitwa (Nigelle Sativa Seed oil) kunywa kinywaji hicho kikiwa na uvuguvugu pamoja na kupaka mafuta ya (Nigelle Sativa Seed oil) pahala panaposokota.
   
 4. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,872
  Likes Received: 6,624
  Trophy Points: 280
  Asante Ndugu.Nitafanya hivyo.
   
 5. M

  Mgalatia JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 28, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nenda Tumaini Hospital kamwone Dr Yongolo
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kama vipimo umepima na uoni k2 ucsumbuke njoo ufanyiwe maombi huu ndio ushauri wangu kwako ucpuuze
   
 7. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  kama unapatwa na hiyo hali wakati wa baridi basi utakua na ngiri mkuu.pole sana. over
   
 8. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,872
  Likes Received: 6,624
  Trophy Points: 280
  Asanteni kwa ushauri wenu wanaJF...
   
 9. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180


  Naam hata ile dawa yako ya naniliu nitanunua..............kapunguze bei walau 80,000!
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,618
  Trophy Points: 280
  Ni kweli ile dawa ya naniliu sio ya kwangu ndio maana inauzwa bei kubwa ingelikuwa ya kwangu Mkuu ningelikuuzia kwa hiyo bei uliyotaja lakini mimi mwenyewe nainunuwa huko iliko inakuwa imeshatengenezwa teyari mkuu ina nguvu sana hiyo dawa mkuu ukiitakawasiliana na mimi Mkuu.
   
Loading...