Mkuu Melo habari za siku tele na asante sana kwa taarifa hii nzuri sana. Naomba kama unaweza uwasiliane pia moja moja kwa moja na vyuo vyetu ili waweze kujua fursa hii na kuitumia ipasavyo.
Kwa urahisi zaidi unaweza kuwasiliana na TCU ili wao waviandikie rasmi vyuo vyetu.