Pamoja na umaarufu alionao Wema Sepetu kwanini hana maendeleo yoyote, Anakwama wapi?

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
602
1,454
Pamoja na umaarufu alionao wema , ni wapi alipokwama hadi anashindwa kuwa na maendeleo?., Amekosa washauri au tatizo ni nini

Baadhi ya watu wanadai kuwa wema ameshindwa kutumia umaarufu wake kujitajirisha, wengine wanadai kuwa Wema amekuwa akitumika kwa maslahi ya watu wengine bila kujitambua, wakitolea mfano Wcb jinsi wanavyo mtumiaga kwa ajili ya maslahi yao na kumtema

Wema amebahatika kuwa na watu milioni 3.4 wanaomfollow instagram lakini ameshindwa kutumia hiyo nafasi kujitangaza kibiashara kama wanavyofanya wenzie akina Wolper, Esma, Aunt Ezekiel

Wema hadi now hana hata kibanda cha mbao alichojenga, tofauti na umaarufu anaojipa, maisha yake yamekuwa ni ya maigizo kila kukicha

Anakwama wapi , ili tumshauri?
 
Wema Kakua mwili tu ila akili haijakua na haitokua tena.... Lile ni sikio la kufa
Mkumbuke kuwa wema sepetu anakimbiza miaka 30 now ni mtu mzima huyo lakini kinachomsumbua ni kutokuwa na msimamo na akili pia kichwani na ndio maana kila kukicha anaburuzwa tu yani

Kila kukicha wenzie wanatajirika yeye kazi kujipendekeza tu, ona sasa hivi wcb wanavyomtumia kijanja kuboost nyimbo yao ya african beauty, bila lenyewe kujua kuwa linatumika yani lipo lipo tu,
 
Back
Top Bottom