pamoja na kunifumania na mke wako usiku wa kuamkia Leo,Plz nirudishie vitu vyangu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

pamoja na kunifumania na mke wako usiku wa kuamkia Leo,Plz nirudishie vitu vyangu!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by cement, Jul 29, 2012.

 1. cement

  cement JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Duh hii ni hatari ni hapa hapa Dar maeneo ya Kinondoni,picha limeanza nilikuwa na mdada mmoja ambae alikuwa nyumba yake kama kama kawaida yangu sikuwahi kumuona wala kusikia wala kuniambia kama ameolewa,karibu karibu mwisho wa siku jana nikazamia kwa minajiri ya kula mzigo duh mashalaaah nikafanikiwa kulamba kama mbili hivi mwisho wa siku mlango ukagongwa mwenyewe full kupagawa ohoo ananiambia mme wake kaja!nikapagawa sana kwenye kabati sitoshi,chini ya uvungu ndo kabisaaaa tukakubaliana afungue mlango tu na me nitoke nduki ndivyo tulivyofanya,nikakimbia nikaacha viatu vyangu,suruali ya kadeti,simu zangu BB 9300 na Iphone 4 plus shati!hoja namshukuru mungu nimepona lakini naomba mwenyewe yule mwanamke kama yupo anitafute anirejeshee vitu vyangu ntamuelekeza sehemu akaviache jamanintaenda kuvifata maana ni kama ml 2 hv!anionee huruma kama yupo humu!
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwa nini usiombe uyo uliyemlala akurudishie vitu vyako
   
 3. p

  pembejeo Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe ni pumbavu kama co chizi angalia utashikiswa ukuta hivihivi kuwa makini bwana mdogo
   
 4. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,153
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Unabahati ulikimbia, angekulamba tigo huyo jamaa
   
 5. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  wakati unajipeleka magendo, unatusua vya watu hukujua kama kuna kukurupushwa?!
   
Loading...