Hili ndilo jambo kubwa la msingi CCM na makada wake wanapaswa kujiuliza.
Wao wapo madarakani lakini wanazidi kuchukiwa.
Chadema haipo madarakani lakini inazidi kupata ushawishi na inakubalika.
Mizengwe kibao , kamatakamata, kesi zisizo na mashiko. Lakini bado watu wana imani na CHADEMA.
Hili sio la kupuuzia kwa CCM maana hii ni taa ya Kijani kwa CHADEMA hii. Acha ile ya Mbowe na baba mkwe wake.